Huniachi Lyrics - Son by: Reuben Kigame | Sifa Voices | Gloria Muliro

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Bwana

Nipitiapo maji mengi au moto huniachi
Unalijua jina langu ewe Bwana huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule njangwani
Wewe ndiye Alfa na Omega Huniachi

Umeahidi wewe Bwana Huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba

Uliwalinda Waisiraeli kule njangwani
Ukamtoa Danieli tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

Umeahidi wewe Bwana Huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba

Baba hata mama wanaweza kunikana
Marafiki nao wanawezanigeuka
Mara kwa Mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako Bwana Huniachi (Huniachi)

Umeahidi wewe Bwana Huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba

Umeahidi wewe Bwana Huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba

Umeahidi wewe Bwana Huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba

------------------------
I can't seem to get enough of this song.
It is deep.
It is a masterpiece.
It is refreshing.

I know it will bless you!